Ala hata wewe uliamua ni wgtow
…close friends but strangers at the same time. Kuna time thanks to kuvalia mask huwa natembea Tao najipata nacheka nikikumbuka upuss ya hii kijiji.
Hiyo nitaongea after proceedings lest I incriminate myself
Hii chapter ya hekaya labda nianze maneno ya pseudo, lest nifuatwe na CID
Pilipili usioila … hizo feelings umeokota SJ rudisha huko, :D:D:D:D
“Fam” tena? Hapa ni elders, wanakijiji, or Talkers
Hehehe, kumbe wewe ndio Wamum Goldie wa Klost… miaka imesonga kweli:D:D:D.
[ATTACH=full]370850[/ATTACH]
Wgtow hehe…I’m not into labels but I can’t complain.
That aside, I would never wish an annulment on anyone. If the OP is your friend /fam afadhali tu mmwambie arudi nyumbani.
A
Ama ghaseer
No :oops:
I thought wakanyaks made a typo.
I was never in klost, (must have been in existence in the years I was happily married :D) never even heard of it until 2017.
Mutheu apa umetupanga
I swear on all I hold Holy and my forefathers. Nyinyi watu huwa mnaniekelea handles sio zangu. Most of the times I had to ask MM and others to fill me in on the klist backstory.
:D:D:D
You’re Unhappily married now? Or thingle kama thumb yangu?
Ata wewe unaita bwanako daddy! Baba mzee hivyo wachanga kuniangusha!
chief leta kienyeji pics
Unataka nimuite aje?:D. Yeye ni daddy wetu…atuletee mkate.