DONKEYS

Hahaha material for Introvert:D

1 2 3, nimetoka mbio na kicheko :D:D:D

Chungeni isiende kutengeneza mtura

[ATTACH=full]50386[/ATTACH] Ndio tunapenda ucheshi… Na Gari yachekesha, ila sababu safari ni ndefu, ucheshi unaendelea Kwa Muda mrefu hadi tunapungukiwa na hewa Katika Ile Hali ya kucheka. Mwishowe kifo. Selfie haiwezekani Katika Ile Hali ya kucheka kwenye Gari

Watu wa vibandeski huko Kampala are just about to be treated to punda treats in the name of ‘steak’ just like in Nairobi

Hii thread imejaa uongo.

ukiona imejaa uwongo si ujitoe,meffi

I thought so too, never seen donkeys in Uganda. Lakini skin ya punda ni ya nini?

HAHHAHHAHAHAHAH wewe ni ngombe ya kawaida…

No

I had missed this post, thanks for bringing it up.

wonderfool ulienda wapi