Dr. Luther12 Kuja hapa!

warranty does not cover kasheshe za bibi…

2 Likes

Omwami kuliko kununua kitu kama hio ungenunua black mamba kama ishirini upeleke county,imagine kila boda ikikuletea soo tatu * 20 kwa siku hio ni ngiri sita * 30 ?unaona haungekuwa mtu wa shida hivi hivi,na hapo ndipo napendea wakikuyu ,calculator yao ilisahau minus hata pia plus hao hufikiria times pekee na nihayo tu kwa sasa.

2 Likes

[ATTACH=full]4463[/ATTACH]

21 " ndio hii natumia nugu!

1 Like

Pamba aki nikama unaongeza chumvi kwa kidonda… Boda nilibuyia @vuja de sasa kazi ni kubeba nekesa wakienda kuchuna miwa

2 Likes

Hii ndio ubaya wa kuleta momo wengi bash

2 Likes

anunue blacky ishirini ama a kamue momo ishirini

1 Like

Itakuwa mpango ya kando;)

1 Like

Pole uncle nyama na ukijaribu kuuliza anisuma atleast u get the price ramgr

Ati pamba unasema umapenda wakikuyu
. . na venye naonanga nakuja kuolewa na wanjala huko kwenu…mmh

1 Like

Pombe napunguza sasa. Watu kama @Wakanyama ni balaa tupu kwa bash

Pole uncle nyama na ukijaribu kuuliza anisuma atleast u get the price ramgr

Ati pamba unasema umapenda wakikuyu
. . na venye naonanga nakuja kuolewa na wanjala huko kwenu…mmh

2 Likes

Kam nikuoe purr… Utakula kuku daily mpaka breakfast

1 Like

Kwanza umetumia lugha mbaya ya kuita dakitari ati kuja hapa ,mimi nikiwa yeye siwezi kukusaidia,in between bwana electronics,bibi akivunja t.v warranty itasimamia,ni swali tu?

waNJALA ni mtu wa njaa

Wanjala(male) alizaliwa wakati wa njaa hivi hivi.

2 Likes

kwa hivyo ana njaa ya aina nyingi. ma dry spell hivi hivi pia

Hio bado iko na spares kwa market@electronics

Hapo sasa tunaomba dakitari akuje kutibu vichwa za talkers,uwazimu naona ukikita mizizi huu musimu wa rasha rasha za mvua.

Tuheshimiane tafadhali

@pamba hizi ndio zile flat za kwanza za Mgongo . Old is Gold. Ona sasa hii expensive scrape nimebaki nayo. I have to pay through the nose kuirepair

1 Like

These niggas are not telling you the truth, hiyo tv yako ni marehemu .Move on and Nunua tv ingine na uwache pombe ! !

1 Like