Unauliza swali kisha unajibu…Nktesticles!!
Sawa murume.Ata hapa tuna njia kama hiyo.More fun coz of the curvatures.Mweiga - Nyahururu,Engineer-Wanjohi-Olkalou very breathtaking.You floor the pedal hadi kamachozi kanatoka kwa macho
Sawa kiongozi
Huyo ako thirsty AF, kazi ni kufuata mkoondo ya wanaume wenzake
Bumps za kayole ata pick up inashindwa kunegotiate without making funny turns…that and manyanja road you are better off using those FH215’s
Ilik
Ilikuwa ni mercedes gani