Eagle attack

I was once attacked by some bird nikiwa kule diaspora…it made several landings on my head sikua naelewa…i took off screaming

My avatar

ebu nunua mandazi za chai za saa nne ulete kwa ofisi

Hehe nilikuwa nangoja useme utaikamua kwanza

Wacha mtoto nafrai…ara

High school kulikuwa na zingine zilikuwa na njaa. Ukinunua smokie halafu ushike kimalamala inanyakua zile za pushuuu