Ekeza sacco members calling for Raira for help

[ATTACH=full]229863[/ATTACH]He he he he, sasa kwa hiyo que ni stori gani munaongea na immediate neighbour?

Yaani these people are naturally stupid or what? Mtu akifika hapo aone line kama hii alikuwa anapanga foleni ndiyo? Surely they must have realised that DCI did not have the manpower to take all their statements? Hawa watu sijui kama nikurogwa ama nini…

Wee umezalishwa ngapi ?

Upuus

meffi

When god fails you go to mganga wa vitendawili.

Ruto is my next president… Cake ni kubwa kuwa kama mimi nishaonja

The fools were busy singing kumira kumira in 2017. How things turn… Ati raila awasaidie. LMAO

:D:D:D you can’t make this shit up!:D:D:D for some strange reason the car I was traveling in could only “catch” citizen fm and this fuckers don’t tire from bulletins hour after hour ! "Karbu kwenye citizen saa Saba chemi chemi ya ukweli! Jina langu ni Stephen ogal. Wananchi wenye ghadhabu Kali leo wamefika kwenye idara ya Dci kuandikisha taarifa kuhusu hela zao zenye zilipotea kwenye shirika la ekeza Sacco linalo ongozwa na mhubiri ngare almarufu gakuyo. Akizungumza na kituo Cha redio Cha citizen mwekezaji mmoja ajulikanaye Kama nyambura alikua na haya yakusema " Mimi niriripa shiringi erfu Mia biri na ishirini mwaka wa 2012 kure sagana mpaka sahi Sina taito deed Niko na karatasi tu. Niirifikiri nimepata mushanga…

A man of God took advantage of their spiritual hunger ! Gakuyo must be refund those poor Kenyans their monies

Taga taga

Nimekuona kwa teefee ukiuza mutura wa Wangigii

jamaa alikua kwa hio line but is too embarassed to be associated with that loss.

:rolleyes::rolleyes::rolleyes: maybe that was her life savings, saa hii mtu analala usingizi haikuji.

Dams ziko wapi?