Encounter with thugs

aliona jam

hakuna,ukiona mwanaumme anapitia shortcut ya vichorchoro za nrb huwa anaepa kulipa fare,but i understand we sometimes make stupid mistakes,ata mimi karibu niporwe,nilienda for a walk nikifuata reli hapo gong road,nilisaidiwa na mbio

kiambio, that estate nimekula kienyeji ingine vizuri sana. Anyway pole sana boss.

Huyu haishi eastlands na huko westy hatoki kwa nyumba.

Zile places nimetembea hii Nairobi saa zingine huwa nashukuru tu Mungu juu sijui huwa nakaa sanse ama ni nini. Unaona tu hapa kuna ngori lakini unakazana tu. Nacheki maboy wananitime na wanahesitate najipata nimepita tu. Kuna kunguru aliniambianga i always look like a no nonsense nigger.

:D:D

Huyo kunguru anakuchocha … utakam patana na kina Pientos, utaitana mujamaa

Atajua hajui.

No wander i am applying for a fire arm license wacha nipatane na mwizi/wezi watati. I hate thieves more than any thing

Zilikuwa zinaitwa tawala uko ocha.

i once knifed a nigger on mukuru kwa ruben i always have a spring released stilletto on me i don’t know what happened to him but nobody sticks a dirty knife on my neck and wants to take my dell alienware no way man am a kalenjin who went to the river u threaten me with guns not knifes

Kilimani hakuna thuggery.Tembea Kina Githurai na pande za outering

Funniest hekaya of the year

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Iza jo, wachanga kiherehere mingi.

Ahahaaa thao tatu kwa ngodha na saba kwa mfuko. Ni kama ulikua umelipwa na foreman. Pole lakini

Hehee Nike

Kili is full of thugs after 7.

Really from which suburbs?

Hapo near Adams na yaya.

Noma sana, pole bruh