.
@Jirani uko wapi? These are the times your 2 Hot Slaps cum in handy!
Lakini grammar ya @Nefertities iko juu kuliko ya @Jirani …hata kama ni multiple handler some give-aways r inevitable. @Nefertities = @Nameberry1
2 Likes
Kuna kawangware Europe?
3 Likes
Hehe
Mtu yangu apo nao umeenda inje… labda jirani yuko mayolo lakini nefertities ako are za mathare area 4 hivi hivi
Kama chama cha Democrats wako na branch Kayole, sidhani ni ngumu kupata kwangware europe
1 Like
Kumbe ndo maana POTUS akaja Kenya?
Haukuona jana kuna mtu alisema yeye ni democrat na anaishi kayole. Ama ndio maana uwes anaandikanga na caps juu anaishi “majuu”