ES-less TBT thread

:D:D:D
Kwanza ikilowa maji ya mtaro. Shait.

2 Likes

Hehehe.
Mother akiona hii anatoka kwa nyumba hadi aonyeshwe maiti yake.

Kwanza when wet. Kuna siku ilinichapa nikasahau where I was alafu ikajichora kwa sura.

1 Like

Inaitwa Flying Mandiz kwa akina @engiti

2 Likes