Expenses Budget Since I left Kenya

Rather meant to say nimetoka big 4 kenya nikakuja hapa faang

the fact that you lump them together :D:D

Do they allow Baghdad guys like me out there.I want to live the soft life too

Saving 150k-200k per month is good but it does not seem like much honestly ukiwa a first world country.

It’s actually 1500 pounds na girlfriend around 1000. But i count mine. Sidhani ni mbaya sana. Kenya nilikuwa nasave 75k per month via sacco then napata sina doo ya fuel etc so inabidi nitumie credit card. Hapa ni savings after. Nikipata bonus ya job hizo itaenda savings na pia next month sina expenses kama winter clothes. Ni a good idea kutoka kenya na ukiwahi pata don’t look back

Yeah, tafta mtu anagraduate ukam ukifika upotee…Nigerians do that a lot na unapata wamekuwa na doo…

Yani people really sit down and write a budget?:smiley:

I knew it. Watu wa big tech ndio wanafuatwa kama nonsense pale LinkedIn

Mujamaa give us rates in £, hii apa inanichanganya … ama uko Yunarestet?

Ziko in pounds…template was in $, too lazy to change

how is that cheap @kemosabe?

How come you live in the UK, and your expenses are in dollars?

Uko UK sides gani usalimie yule madam ako London :smiley:

Hiyo job ya big 4 accounting, ilikuwa pande gani specifically? Software engineering? Data science? Frontend? Backend? What exactly?

Na madam yeye alipenya aje? Ama FAANG iliwasort nyinyi nyote?

Good elder, shikilia hapo. Still assessing the situation locally. My local employer alikwama na mimi…hataki niende, but uzuri anafika bei.

Nyumba ni £1450? Iyo ni expo sana. Thats almost 170k kwa nyumba pekee.

Thats a typical one bedroom in such a place. Otherwise bei hufika ata $5000.

Imagine nyumba utapata na 170k huku Kenya.

Kevin Omwenga alikua anaishi kwa one of such houses. Keja iko na lift.