FACEBOOK AFFAIR TURNS DEADLY

Why did she itikia to be dumped there?

Kwanini?

nimesema MAYBE
kijana uko na maswali ngumu sana.she was dumped there after being killed MAYBE.no one was there.no one knows.

1 Like

K

Kwanini ata yeye alikubali adumpiwe mustuni after beign killed? Si angekatalia penye alinyongewa na hizo bruh… stupid girl

I only have one wife na anaitwa @Nananimpa . Hizo zingine ni rumours by haters

2 Likes

manze I have become an addict and I just can’t stop watching.

1 Like

culture acha kuongea ivo…my goodness!!

1 Like

:eek::eek::eek:kijana umeamkia bangi

1 Like

:)pole

1 Like

Kiumbitho 24/7 na inafanyanga nitake kujua details zote… ebu endelea kufunguka maneno

Kwani jameni si kange fight back kabla kanyongwe na bruh yake… imagine ukinyongwa na kitu yako? Iyo ni madharau kwani wewe uoni ivo

Just Sad…