Family Car

Ndo nasema sijui. gari ya kupick poa ndio bado ya kubeba. Strong in low gears. kuna gari inapick pole pole lakini gear 3 na 4 zikikick in unaskia tu vile damu inarudi kwa mgongo.

Kwani utakuwa unabeba familia kila siku? Alafu kwani uko na watoto 11? Nunua seven seater. Noah, Voxy, na Serena ni matatu.With time you will long for a proper car.

2 Likes

Despite all the advice you will get from the keyboard mechs and wikipedia car experts, it all comes down to your preference,budget,size of family and how you want the car to serve you. The choice starts with YOU.

Voxy, anytime

Team Wish hakuna kwa kijiji???

team fugly

1 Like

Serena iko poa…kuna rafiki aliitumia kwenda uganda rwanda tanzania and back

haha umewai ona zile wish zimewekwa spade nyuma na muffler, kwanza thika road…they make me wanna hide my kawish baby

1 Like