Nunulia mama watoto minofu minofu hivi.
BTW Its very easy to spend 50k a month ikiwa wife ameamua ku offer the kids the sweet things in life. Kuna dec. niliona hii na masho peupe.
10k wasee wanasema haiwezi tosha family iko na watoto
Afande,mi humpeleka super with the best prices but buda by the time unafika kwa till uko 20k and above na hap ndio unskia hypothalamus kama iko na meningitis.
rent nalipa moja ya Nai.huku nalipiwa na employer.
hahahaha,Hii maneno naelewa mzae.
Mzito,She bumped on the pay slip sometime back maze labda shida yayoka hapa maze.
Kuna boy wangu niliskia akisema hivyo sato hehehe.
PM ako huku na majunior pia.
Bachelor hood is well noted.
Hapa umebonga kama Mzito maze juu hata msee huwa hajui vile ndoo imeingia waters and looking back there is nothing that has been done.
Shieet this is so real.
Buy in bulk, its way cheap consult Mahitaji wako Mombasa Road. Tengeneza shopping list na Bibi, then plan for the items vizuri. Ata nyama its cheaper kununua kama mbuzi nusu cut into portions weka kwa chest freezer.
lakini unajua watu wa kp na ap wako na another source of income yenye iko higher than salo zao by far.
i am not saying that you partake in that activity btw; lakini nimeoma makarao wamejipanga hata ukimbia wako na salo ya less than 20k huezi amini