Farasi ni wawili hii Nairobi

kumupenda tunamupenda ndio lakini akihamia cord asahau kura zetu,and it’s non negotiable

Wewe mungich io base yako Githurai sio Nairobi… Sonko ni popular Nairobi

Basi musimuibie

Hapo umendanganya sisi Butcher man. Sonko ni special case kivyake ako na chama inaitwa ‘very idle youth na wamama’ who literally worship him regardless of tribe.

kuja dago south uone kule wakikuyu wako,hata babuon hawezi kanyanga huko kufanya kampeini

Unajua ata Githurai 45 iko Kiambu County? Bahati tu ni vile Waititu pia ni street smart lakini don’t underestimate Kabogo. Yeye ni street smart na mafia pia. Hii county kutakuwa kunoma

ile byelection ya thuo na kabogo si walitumia kila mbinu hata kuweka barabara zingine lami na thuo akashindwa?

@Wakanyama
[ATTACH=full]51930[/ATTACH]

True, yule mtu anasumbua Kabogo kidogo hiyo pande ni Alice nganga pekee na with time itabidi ametii

Kiboko yake ni Ichungwa.

sisi sio watu wa opinion poll,hata ile wanaweka uhuru mbele hatuitambui,tunatambua iebc pekee

Waititu ni stingy hio ndio shida yake.

Ibieni sonko musahau governorship. Hata hao wengine wakiform coalition hawamuwezi

hiyo pande si wengi wanamtaka mpaka huyu jamaa alikuwa radio karungo thangwa MCA

kwani nini simba arati-cord ni mp hio upande ya dagoretti basi?

huyo ako north kwa maragoli,lakini huko bado tunaweka kijana ya gumo kwa tiketi ya jubilee

Kijana ya gumo mgani?

He is not suitable. Ask health workers who went on strike last week?

Sioni hata akipata hiyo nomination. Even some Luos don’t like him.

No nomination= broke CORD campaign.