Fear Thy Neighbours!.... Visa na visanga wakati wa likizo!

Toast!!

Hizi story za ka-mbuyu tutawacha kusoma hadi ziwe na cert ya kuconfirm ziko na beginning na end

4 Likes

following for the next episode of keeping up with the Kabudas

Afro cinema continues… waiting patiently!!!

Wacheni uchoyo na Likes nitamaliza Hekaya!.. Kikikikkkk…!!!

@Ka-Buda really?

Mbona hujamaliza