Female drivers

Product ya derefa tunatambua ni NYS pekee,mafunzo na nyahunyo .

they are discussing small capacity vehicles and not rigs where your prowess is un-rivaled ( you play in a different league from mere mortals ) :D:D:D

Utanikuta wakati wa komunyo baada ya toba.

Senior driver virgin Mary 27 years anasukuma rig huko YALFA,does transit between Mombasa Kampala,south Sudan ,unajua?

Great driver , big on defensive driving and fatigue driving, that is, if we are referring to the same person ( there are several of them ), she also used to do transit runs with a fuel tanker?

Aye, si ka Ozil, nachora kuenda domestic tourism hapa Ngong hills, itakuaje

And they rarely give way lakini yeye anataka awachiwe

@Meria Mata can relate:p

Hii ilikuwa EFI

yes

They tend to change lanes arbitrarily without indicating, a complete lack of situational awareness.

What a man can do, a woman can do better

Fuel Tanker = Thermos

Mkeka?

mkeka ni ile canvas iko nyuma imeandikwo slogan or punchline

Unanichenga kaka , wacha natafuta kamusi yenyu.

Nikiwa na nduthi once nilisukuma a red Toyota Passo hapo ya mama fulani amevaa shades kubwa kama beer mug, alikuwa anajipaka lipstick na gari inakuja kunifinya.

Haha uliona ikikuja ukaishikilia kama Atlas ama hercules?

I was with my 5 year old son as pillion. Nilifinya hiyo bumper yake hadi polisi akaja.

Hizo madigaga ndio shida ile kubwa sana