fifa 1515

Soft loan ntakupa lakini si bila security. Leta hio sqony home theatre nishikilie kwanza ndio tubonge

1 Like

Uncle ya bada lingam anatafuta messenger BTW, @vuja de ulipata job?

Bado naosha dirisha za muhindi

1 Like

Hiyo sqony yangu ni ya 105k

Hehehe vuja fala

Kumbe hizi mang’aa zinakaa pipu???

Uncle @kamau, naeza pata Wapi speaker ya crusade? Kuna jirani kama vuja de ananisumbua sana

1 Like

Weka hiyo PANASOANIC yako ndani ya mtungi empty ya busaa. Itatoa sauti ya 3D hadi jirani ahepe

5 Likes