first female to my Keja (cubical)

wee nduî wathowa hiti No.1 …îkuingira irima nonginya îtige guoya

Yani ulienda kwa mathe na hyo hard mjulubeng woi chesus :D:D:D

Ungekaa hard na shock ya kuitwa na mathee ukiwa gate ya Canaan?

umenikumbusha,
kakeja kangu nilikuwa nimebandika gazetti kwa wall .kuna kadame nilificha hapo for 1 week, choo kubwa ilikuwa ni usiku peke,kususu kwa corner .hiyo wiki wazazi walikuwa wanashangaa mbona na chukua food na naenda kukulia kwa keja nasikuwa na fanya hivo.
Tukiskia mtu akija ,anaenda chini ya bed mbio, yangu ilikuwa kukaza asi sneeze na kujifanya nikuwa natoka ndo mtu asikae sana,tulibondana hiyo wiki like nobody business.
Kumhepesha siku ya mwisho ilibidii ,nimtoe 5.30am arudi kwao na alikuwa amewaambia ameenda kwa granny wake.

[ATTACH=full]147970[/ATTACH] keja huikuwa inanuka mkojo :eek::smiley:

:D:D:D hiyo wakati mtu haskii harufu,unaona tu vile utamnyorosha

:D:D:D

Ulimanga baadaye ama ndio chance ilienda hivyo?

Hata ungekata mtungi ya five litres akojoe ndani bana. :D:D:D:D

ama karai bana keja ilinuka mkojo wiki mzima:D

noma sana.