Fisi Fala Kapatikana

Niaje miss D?

Fariti tu

1 Like

Kush you are evil :smiley: :smiley:

GAY .

But ungemwambia atume fare ya ten k the umpee namba ya homowebdev amtumie hio doo .

Poa sana. Ebu ambia Huyo roomie wako hiyo story , confess alafu hapa uko na handle ngapi

Nlitoka hio kampu kitambo and lost touch na Benso. Handle … eeh … nko na moja official alafu zingine kama … aah … hehe … ama wacha tu

2 Likes

Sasa kairetu. Mi ni mujamaa mpoa, husband material. Ile story ya cuzo wako ni aje sasa?

1 Like

UPUUS

Niko poa hubby material :)…cuzo alihook up na mjamaa mwingine

:D:D:D

Hapo ulitupa bid poa. Anyways akichange mind ntakuwa area;)

1 Like

:D:D:D:D:D:D