FIXED BETS

Nimekuja hapa kutafuta screen shot ya winnings, kumbe jamaa bado ni mdomo

1 Like

Ata wewe siwez kupatia ata utoe mangapi wewe ni mrazi, tembeza :smiley:

Mzee mzima, kama wewe ni wa ukweli, post 1 match inbox nishinde, trust you me, winnings utapata.

1 Like

Ivo ndo mtu hubonga c kama hizi burukenge zingine… Ikikam ntakupatia moja na ukuje utoe ushuhuda

Leta hapa tuamini mzae

1 Like

Hiyo lazima. Ukipata nishow

:D:D:D:D:D:D fixed matches…RIP YOUR STAKE