fixed

Hiyo fb page yao ilihang mpaka after the game, ndio ika load fiti, niliboeka kweli

ama wanaandika post earlier then wanachange audience, wanaedit game ikienda kuisha, then audience pia, alafu unaona ma.assholes wakisema
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng
KIng

2 Likes

Mimi kuna moja niliwekelea jana na ikaingiana…wacha nipost hapa
Kama hiyo si fixing sijui…hehe…worked out well

[ATTACH=full]29509[/ATTACH]

1 Like

pamoja na predictions za leo pia :rolleyes:

wanaboo sana wamejaza king apo…game inaanza 6.00am tips inapeanwa 6.08am

ao wanatuchezea tu walai

lakini unaweza finya live bet bado
lakini match fixing ni rare sana kwa ordinary people

bigwigs ndio huconduct lakini its a top rated crime

1 Like

match fixing enye legit kabisa ni mexico:D:D ndio madrug dealer hutumia kuconvert illegal money ikuwe legit money

haha kuna possibility somehow :rolleyes:

He

Hehe…za leo sina…nikipata nitapost hapa…

1 Like

nimeloose 1 k,jesooooo saidia

1 Like

Hiyo ya Betstrong kwa FB ilikuwa spot on! Kitu inanisumbua akili ni, huwa ni guess work ama kuna vile anajua kitu chenye wengi hawajui??

uliweza kuaccess page?

kuna mwingine wa free leo pia
https://web.facebook.com/Powerbetes?hc_location=ufi
https://web.facebook.com/MrAmazingJohn/?fref=nf

nicheckie kama unaweza access i page?
https://web.facebook.com/MrAmazingJohn/?fref=nf

haha content isnt available

Nili-oversleep! I woke up at 8 na game ali-post, ya mexico ilichezwa 6! He posted the odds at 5 hivi!

[ATTACH=full]29512[/ATTACH]

1 Like

Hiyo site yao ilikuwa as above as from 5 "mpaka 8

You mean the page was inaccessible before the actual match!! Leads me to conclude that they must be nothing but attention seeking hoes! I checked the page after 9 hivi and that is when I realized the game had already been ‘played’!

1 Like