GGGMU
that was narrow, but I’m happy for the win.
Hapa ni gg .Anyway hope willian haanzi
Hehehe…hapa totte walikuwa wanaona wanashinda. Niliona Bailly nikafurahia. That guy scares strikers vibaya sana… Kijana anapita na wewe plus mpira unaona huwezi jaribu hiyo wing tena.
@vuja de what is?
Naona unashuka ngazi tu…
mchawi wake ako busy na nyuki na erekshons
Hehehe.
Hata @Meria Mata simuoni page 1
Fwack Tottenchieth
Over ya Dortmund ishaingia na HT bado
Cech ni maembe sana. Hakuna kitu anashika
TOJ:D
Nimetumana Sungwanya dawa kali, let’s meet here in December we compare notes
[MEDIA=twitter]924262813601861634[/MEDIA]
huyo Bayi nikimuona naona clean sheet.
Leverkusen wanatia pressure sana saa hii. Meanwhile, mwenye anataka slip ya 11 odds ndio hii. Wait for the lineup ya Feyenoord.
[ATTACH=full]135376[/ATTACH]
Hehe slip ya kwanza ndani. Well sort off. I added Livingston/Brechin for a direct win. We’ll know in 45 minutes.
:mad::mad::mad::mad::mad:
Hii game haiendi fiti…
Imebeat mbaya.
hiyo ni game gani? Nimetafuta team inaitwa defermine sipati