system
21
Ahhhh kwani ata yako iko na sulphur…kula stock uje tukauze ma scrap.pale Githurai
system
22
@Motokubwa mbona unapeaga jamaa ya Bendora chances za kuku attack
Wechez
23
Wewe hujipendi khasia hii. Hizi vitu hazitafanya uhare mbaka gatema.
ndio,hio ndio ofisi yangu
Wamanyoka wacha tu nicheke, naskia Dago hata ubwa zimehepa hazitaki Kula nyama, zinataka nyasi
Chunga Sana vile unaongelelea dago. Musubcounty hebu mwambie kichinjio bado iko works
na bado musubcounty, Tuko ngangari
@Meria Mata Dago imekuwa na zombie cows
Hahahahaha … huwa napenda sana hii khasia ikiambiwa ukweli
bouss
32
Sijui shida gani ndio kubwa. Sufuria ama hiyo nyama.