Free Internet Saf..

there we go… saf haiwezi zima milele hii ni kitu ya lifetime … aujui ni nini ushasema tiyari saf watafunga… hii inawork kwa airtel saf telkom … alafu ni kitu ya dunia nzima inawork kila mahali all you meed ni appropriate configs ndio speeds zikue moto

@Deorro nashangaa mnasema mtu aje awapee feedback 25 bob ndio mnaogopeaama? nikule 25 bob yako itanisaidia nini… niibe 25… bettee first ungekujia wewe mwanzo ndio wasee wangeamini

wallai wakubwa dont stick here in kenyatalk mnakosa vitu mob huko nje… hii shit imetumiwa tangu 2016 huko huku wengine mnashangaa

https://your-freedom.net/index.php?id=3&L=6

knowing your freedom si shida… kama ni kitu ya kuficha nisingewaambia hata jina… shida ni kuconfigure and the subscription… am sure hakuna mtu anaeza nunua account ya 1 month @260 huko bila ya kutest vile kunaenda

@The_wise_man, is that you?

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/free-fast-unlimited-internet.8957/post-155642

Is it safe? Ama nitakuwa part of a botnet Russians waweke ngwati za watoi kwa laptop yangu?

m

mr tangu 2016 hio kitu watu wanatumia its an official company wai hawaprovide free internet… ni ma ujanja zetu ndio tunafanya tupate free net… They are just providing vpn service

Wonders of all wonders, it works!
Even after data kuisha ina-work
However, iko na shida na crappy speeds of upto 320kbps but Rasmoat amenitumia Screenshots where guys hit 4Mbps on average. He is helping me with that though.
As the lab rat, I can thus confirm that it’s not a scam. [ATTACH=full]163328[/ATTACH]
[ATTACH=full]163328[/ATTACH]

[ATTACH=full]163323[/ATTACH]

pale 2016 kuna site ilikuwa na delay ya 1-2 mins ya gambling kwa live bet
sasa what we used to do nikuweka 10k kwa account and wait for teams to score then tunaweka 10k on the next team to score unapataa zako chapa una withdraw n wait for the next goal., watu waka anza mucene site ikajua loop hole tukakaukiwa kaa fvcking

Haha what is the scenario behind that

nilikuwa nadhani ni kama data mwitu ati saf watajuwa kumbe yako sio iyo

I have been using this yf since dec last year but since feb imeacha kufanya na saf ikabaki kwa telkom at snail speeds. Whoever ako na shaka i know it worked back then but of now unless one got a new trick on the settings

Lazima mtu atest na alete feedback. Hata torrents sisi husoma reviews za watu before downloading same to buying phones

That’s just VPN. When you popularize it like this, they’ll soon realize and block that port

ati port

port gani hyo ifungwee.:D:D:D:D:D babae hauelewi hyo kitu utaota sana ifungwe kwani ni host watu wanatumia yenye inabypass ndio tupate free net… thats something else… its like slowdns inafanya dunia nzima na ukiwa na account premeum unapata speeds safi sana… hyo ni dunia nzima boss…

if it was host saf ndio wataona more traffic going towards that host but hii ni vpn just vpn same like slowdns… slow dns imekua tangu 2014-15 huko i think and till date inafanya kazi…

GUYS please… no more inbox…
kama hujui anything about your freedom please no inbox… Nishasaidia wakutosha…

Whether you like it or not, every leak/hack/vulnerabilities will be patched. It is just a matter of time.

Your freedom has been there for ages nashanga mbona watu hawajui. Ningeanika hapa settings na process mzima but wacha rasmoat anukishe kitungu kiasi