Friday Ulevi Sacco official thread.

Boss. Unatumia program gani?

Cheza chini mungiki

2 Likes

Kwani wewe ni ile mbwa hungojea kengele?

1 Like

IBM Spss V21

1 Like

sawa mungich

Ndio tunaanza
[ATTACH=full]72068[/ATTACH]

5 Likes

1GB detected,Anyway kwa raha zako mzae.

1 Like

Mfupaspective!!!
Na kwani lazima uweke funguo za Toyota kwa meza?
We are almost in 2017 for ferks sake.
Driving is no longer such a big deal.

9 Likes

Alisema Bora ulevi, sio ulevi Bora.
#peasantmanenos
Best

1 Like

enda ukunywe mnazi pole pole

1 Like

Almost time boys…

Kunyueni mjienjoy…msifikishe ya kuleta madhara…

1 Like

Shidwe sana. Funguo ni za Mistrubishi

Sio za Axela?

2 Likes

Weka hizo funguo zako za Mistrubishi kwa mfuko na uwache ushamba.

1 Like

Wanawake hawaeselewa hii story ya fombe.

Nakunywa simainof, bamburi,

1 Like

Pilsner baridi Nakuru. Siwezi maliza workshop ya wiki mzima na nikose kuonja fobe ya huku [ATTACH=full]72099[/ATTACH]

Hapa hapa bdipo nilipo… And guess what?..

ka whisky kwa nyumba…

[ATTACH=full]72109[/ATTACH]