FTA for life

the openbox is also i gd decoder, go for it

ukitaka kipara itokee mapema na sukari ipande, basi nunua hicho kingamuzi (decoder) cha best HD by huawei, na pia i think vile jamaa ameadvertise fb ako na 1 milli kwa account yake ile atalipa as fine wakati copyright society watacatch up with him. this decoder can work for a few days and then be off for the rest of the month na pia sio hizo channel zote amesema. the most reliable protocol right now is tv1 cccam lakini pia hio iko na downtime yake. avatarcam ilisahaulika september lastyear.

1 Like

Thanks meriamata for the good work mlihamia huku na hamkuniwachia forwarding address…mmmmh thats a beef for another day anyway wapi the good doctor luther

Welcome home imei2012, still waiting for your reply from jamii from the pm i sent pale nilikuwekea hii link.
sasa umejua handle yangu huko.

Thanks bro i will check pm and get back at you thanks