FTA freedom

Sidhani kama iko na Satellite Receiver.

You gave me a link nataka kupatia technician huko western sijui kama ata manage,weka na estimates ya mbesha.

Yes I do…i can even build a mini structure to hold the dish infront of the pigsty.

Hakuna substitute ya kbc na ktn

Watched K24 jana Nairobi diary .what’s that program all about ?
Middle age women fighting !

@Okwonkwo sijapata swali muhimu ya kujibu
Magwiji are on this thread
Ulizeni swali ya maana.
Nilesat iko 3°w na ndugu zake hapo hapo from 4° to 8° unapata channel kibao on 6ft dish all FTA.
Ukija 68°e to 75° unapata freedom

Wacha kukojolea thread ya FTA. Fungua salon tukadiscuss Nairobi diaries.

Let me ask mzito,

  1. tofauti ya Prime focus na ku band dish ni nini.
  2. 60cm, 90cm, 120cm, or 240cm dish… the bigger the better ama?
  3. Kuna EPL?

Aa@@aa

Hi

???

Do I get to watch,
cbs reality ,
Maisha East Africa
Fox,
And channels that are free on mobdro? Akina bt sports,…??

  1. Prime focus dish ni zile za 6 feet na zaidi zenye lnb (c band) iko kati kati ya dish while off set ni zile ndogo kama za dstv zenye (ku band) zenye lnb iko at an angle

http://www.techsawa.com/images/demo/prime%20focus%20reflector%20illustration.png

http://www.techsawa.com/images/demo/offset%20reflector%20illustration.png

Ku band ni zile lnb ndogo zenye ziko kwa dish za dstv while c -band ni zile za dish kubwa …c -band is always bigger and much more stronger in terms of reception as compared to ku…

  1. Obviously the bigger the dish the more it will nab more satellites and get a stronger reception currently i am using a 6 feet dish na mvua haisumbui signal ya satellite

  2. Hio swali ni ngumu kujibu

Ukilewa zima simu. Serre

Thanks for explaining number one and 2 Hapo ndio kizungumkuti ilikuwa.

Lakini 6ft (240cm) dish hiyo itabidi mtu awe na real estate yake. Kwa flat au apartment sioni kama inawesmake.

The bigger the dish the better, the reception is much more better on a 6 feet dish as compared to your 90cm dstv dish alafu a bigger dish has a greater potential as compared to a smaller oner…

6 footer unaeza hang kwa wall ki design but bora mtu asiguze…ama kwa roof…wasee wengi wakonna hizi dish kubwa na wanaishi kwa ploti

Kikikiii

Just open the link to get what you want. And I distinctly recall sending you those price estimates as well. Anyway, as long as you know the items required, bei isikusumbue sana. Just do your own shopping.

Good enough. Check if your eastern (sunrise) and western (sunset) sky is clear i.e no obstacles like tall trees and buildings.

No. Yours is a terrestrial receiver (DVB-T2) not a satellite receiver (DVB-S2).

Somanga threads mblo:

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/kriiing-krrriingg-kengele-imelia-wanafunzi-njooni-hapa.59371/