Fuck it thika

:eek::eek::eek::eek:…na ungekosa @biraru amesema ungepigwa vita noma sana cell, thika wacha ikae

Natafuta transfer nikuje huko, 300×50 sinitakuwa mbele?

Mnashikwa kwani nyi ni teenagers? Me huambia the senior most officer wa io patrol nitampigq kofi nimtoe ujinga, mbele ya juniors wake

Wueh! You don’t play.

Sisi one person 2k then tulipelekwa hadi makongeni kurudi mbaka tao ni 300 na nduthi

anasa ni gharama kweli

Kuna marehemu flani alikuwa na hayo mazoea na usiniulize nilijua aje.

Acha vitisho baridi

Hio ni pesa ya laana omwamu? Ama usha zoea?

Sawa .

Hio day tukiwa kwa land cruiser kuna mzee flani alijifanya anajua law anaambia makarao ati amefanya makosa gani kutembea usiku ata wakitaka wampige risasi kama ako na makosa… What happened next uliza @pamba akuambie

Haha kumbe wanaume tuko wengi.
Imenikumbusha kuna time kadiva ka jkuat kalinisumbua sana hakapatikani nikakamue. Sa dday ikafika nikiwa job kakanishtua ati tuanguke rave io day. Mwanaume ata kazi ya muindi kwa ofisi sikumaliza koz ya anticipation. Koz of convenience kakasuggest tuanguke thika. Nikajua baas threshold ntafika na certification ntapata after rave. Ninja magizani nikapitia kadiva juja sisi hao tukazidi saana.
Kushuka thika saitani akatukatia tukaingia box tukaona tuende tbt Image kiasi bfo turudi blend. Ugentleman ikaona diva inafreeve nikaipea hood tho nikajam sitaona cleavage tena.
Kupiga kona ya kwanza nkaskia ‘simameni apo!’ Inner me ikasema nitoke mbio bt nikaamua ka mbaya mbaya lazma diva ajue mimi ni mwanaume.
Ivo ndio nlijipata nikipigwa kwa cell na ‘Johnte’ saa hizo baridi inanipiga koz hood nlipea diva. Ufala ni ata sikua nimepiga kakonyagi backstreet so nlikua steamless. Niliona usiku mrefu ma sijawai kanyaga thika tena after kutolewa na ninja wa mine following day!

Namjua vizuri, alikua anaitwa hayati

Narokotwa.

:D:D:D:D:D:D:D…noma sana, huyo diva naye aliendapi, ama alichapwa combi na threshold ikatimizwa kwa niaba yako?

Siku umechoka na Makende kuja piga sisi mseh

Watu wakule kwao…, ndio maana hakunyeshi juu ya ile umalair mnakujanga kufanya hapa

;);):D:D diva pia alilala ndani! Kaliwekwa cell moja na lanyez uzuri hawakukaharass! Alijaribu kulia lia “I know my rights” bt ule karau mkamba anakaa drum ya 250liters hakutaka kuskiza any

:D:Dna hivyo ndivyo ulikosa slices mseh, pole

@pamba mi siezi ambiwa hivi