Fuel Prices...

Right on dude, right on!

1 Like

Wewe unaona kama kuna mahali amesema itaenda hadi mwisho wa dunia?

[ATTACH=full]12213[/ATTACH]

1 Like

:D:D

Sasa nyinyi mna compain na mama watoto ameenda kununua mafuta taa hapa Mwananyamala,Dar es Salaam,Tz…ameambiwa 1 litre ni TZS 3,000,appx KES150. Natamani kurudi nyumbani.

haiya