Fun friday

Unajua hii ni rent yako ya mwaka mzima nimeshika hapa…ebu tupatiane heshima ama nitumie hii pesa kama makaa kwa bong ya shisha.

Haya mambo ya kupewa salary kwa bahasha mkome.

Sema tu huna maziwa ya chai ya asubuhi nikununulie brookside kampuni yenyewe usiwai kosa maziwa tena.

A fool n his money…

Don’t be an enabler to upoko.

Even before Jesus was born kulikuwa na mapoko. How then am I enabling prostitution? Kuna mmoja aliniambia ati boyfriend yake alimuacha na mtoi and this is how she earns her money to look after the child. Wengi wao ni last resort and therefore hakuwezi kosa mtoto wa talker nalea indirectly.

Ni uchokozi tu, don’t mind me.

better a fool with money than a fool without:D:D:D

Najua boss…sikuteteshi. Pewa lap dance on my bill

Birrioneas wako B-club sio liddos. Meffi. Na najua kuna mtu anawekwa maji hapo Kahawa.

Some of us get paid on the 18 Na hatupigi kelele GOK the best employer.

Hii ni DSA nilikuwa naona graduates wa gava wakiearn ya 5 days counties za cluster ya other areas. Hiyo core i3 heheh si kwa ubaya, tupa hiyo mashini

GOK ni noma msee, especially if DSA kama zinakuom ata mshande hunanga shughuli

Hii mshahara ya mapema balaa tu. Ngoja kiburi ya end month ianze

Na aweke juala mpangoni!

DSA… Daily Subsistence Allowance

Tunakuonenea mbali

poko yule ako liddos utampata tu B-club. Ni venye tu mnaenda pale kempinski mnauziwa salad 2k na mboga na sukuma wiki ni 100 bob max. Hujalijua jiji?

Laptop ni tatu kwa nyumba. This is just the one I travell with kaka when I have to work on the road. Birrionaire habebanangi na i7 juu ya maboyz wa kayole kama wewe. Dicarlo mambo smarta msee muthisha nugu.

Jiji labda nikufunze mblo.