Gangster's Paradise

Elfu sita.

Wewe tangu useme ushawai shukisha mtu wa Kenya power kutoka kwa post ya stima na mawe nilijua unavutaga ya Bungoma na imelipuka.

Otherwise kama kuna jinsi ni inbox

Ikiwa na silencer?

Hapana. Sikufikiria kuulizia mambo ya silencer. Lakini hiyo bei ni ya kitambo kidogo. Mbegu inapimwa na kikombe ama mkebe. Ukinunua kumi, inaongezewa kikombe moja.

Not really. Kuna a twitter thread about a gang robbing watu wa apartment at Kikuyu/Kinoo/Uthiru etc

Punguza movies kijana

Niaye scumpaka

Theres a flat in Kariobangi which was robbed by a gang armed with guns. Unashikisha tv/furniture/valuables kwa lorry. They had a big lorry and they took their sweet time. Luckily they never hurt anyone. Haja yao ilikuwa mali.

jinga kabisa! pungoma ni safi kama pamba

During the electioneering period political greed orchestrated the rise of gangs in the name of protecting the throne. With no one to attack the wolf has now come back to devour the natives.

Wakikuyu are the perfect example of every man for himself. Wezi wanahamisha area mzima aje. What if you regrouped and formed a vigilante. Hii watu ndo maana ilikuwa inauliwa na Mungich bure tu kama humbwer

If villagers regroup it will turn into Mexico. There are villages in Mexico cops fall below the vigilantes’ pecking order and even the military needs to have the vigilantes embedded in them to venture in. Watumiwe hessy wa mathira before we give birth to a monster

Hessy kitu gani CID. Infact kuja kwetu uone vile community policing hufanya kazi. Greeks hawaezi saidiana time ya shida its a fact. Thing hao wezi hawaezi kuwa wa karatina wote…lasma kuna guide/spotters. Mkipata hao …hata kama ni polisi solution ni moja tu… jiwe ya 9 kwa kichwa au moto…kesi baadae. Most probably kama atakuwa polisi kutakuwa na msako ya kama one month but wizi itaisha.

Lynching is the answer, in other areas thugs are burnt after naming their accomplices.

Poa sana @vuja de eek