Gas kuisha ukipika

Meko mbili utakuwa Una refill every month, zote mbili, zinawashwa at the Same time.

they never get finished at the same time…ikiisha una-refill si kungoja ingine iishe…

Haunipati, hapo ndio utajua mama watoto anajua kupika haraka, [SIZE=1]nimeleft
[/SIZE]

:D:D:D
Ati long jump.

Labda kama githeri, miguu na matumbo hupikwa kila siku kwa hio nyumba. Lakini you are right, some people wanakuwanga wasteful.

Irreducible minimum yake ni kukula, la sivyo, hakuna atakaye pata usingizi kwa hio nyumba!

God have mercy on the boychild!

Yangu ilikuwa on a certain Sunday night, tukaingia kwa keja na khupipi na mjunior 10pm, juu ya kuchoka na mvua na blackout tukaamua kurelax kidogo. 30 mins later khupipi ekelea mshele mix ya carrot, nyanya, na waru (<<<—mashakura - unapika saa ile u want an all-in-one meal),:smiley: kanyama kako kando kakingoja turn yako kwa sufuria… 15mins later kucheki gas inawink tu…nikateremka 5flrs teke teke kuangalia kama naeza pata Suzie wa gas kama bado amefungua, kufungua gate kuangalia street from end to end nlipatana na giza inaeza paint manguo, i just stepped the fvck back…nkarudisha mkia kwa nyumba nkishindwa ntaambia khupipi aje…
I just looked at her at let her read the answers from my lips…kwa hao ata slice ya mkate imeoza hakukua…na hivyo ndo tulilala njaa for the first time in 40yrs:D…uzuri mjunior bado alikua hajaanza kudish masolids…

I learnt a lesson: i always have a full spare gas cylinder at any given time.

nishapelekea neighbor maziwa anichemsie. juu kulikua na ugali ni kuchemsha tu mtoi akule na maziwa

stove na kibuyu ya kerosene ni muhimu kwa nyumba

Hio moshi ni noma especially if there are kids around.

I have the 13Kg gas, but when it runs out I always have a smaller 6Kg gas as a spare… Then make sure to replace the 13Kg the same or next day…
After using the spare about 8 times I cook with it until it’s finished and replace it

Kama mjuavyo chai ya maziwa ikichemka hu overflow na kumwagika.So on this day nimewekelea kachai na nikarudi kwa comp kuchat kadame fulani.Gumzo imeshika nikasahau maneno ya jikoni.
After kitu like 20 minutes nikakumbuka kachai,usitake kujua vile niliruka kutoka kwa hiyo kiti,but kufika kitchen napata chai iko tu warm na ka pop sound kakitoka kwa meko.
Nduuma huwezi kula bila kitu ya kuteremsha,otherwise utanyongwa,nikajaribu na maji,ika taste kama urogi,ilibidi nimekoroga ile chai iliishiwa na gas na kasukari nika survive(tasted weird),Kurudi kwa chat nakuta natusiwo ati nimeignore mtu

:D:D gas na slices Kaput

imagine,saa zingine mimi hukumbuka vitu nimepitia najichekelea tu sana,nikiona huyo mwarii nakumbuka hiyo siku ya kachai

@introvert , quick! Make a sketch of a Ng’ombe mounting a Rhino!

na hivyo ndo tulilala njaa for the first time in 40yrs:D…uzuri mjunior bado alikua hajaanza kudish masolids…

I learnt a lesson: i always have a full spare gas cylinder at any given time.
[/QUOTE]

Ati, mi nimelala njaa countless times nawe hiyo ndo your 1st, boy child wengine si wanabahati

ameunda mob hadi ako na Noah’s ark yake

Tag me on one

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/gunia-wiki-hii-the-end-is-nigh-uwesis-ark.56830/