Gavana wa Taita pia ameanza kazi

Sina idhibati yoyote kuhusu uhalisia wa shahada yake. Mimi hujiuliza mbona uende mahakamani kuzuia kuchunguzwa kwa hadhi yako kimasomo kama kweli unajua ulihitimu vilivyo kupitia kwenye vyuo vilivyo idhinishwa. Mimi ukinipeleka mahakamani, nitangoja wakati wangu wa kujitetea nilete ushahidi wote uliopo bila dosari! Hata ikibidi niwaburure wahadhiri wote walionifunza, madaftari yote niliyonakili, dawati nililotumia bila kumsahau yule jamaa aliyekuwa akinitegemea nimpe majibu wakati wa kutahiniwa. Utaogopa kuchunguzwa tu iwapo una dosari! Wacha wakuchunguze mradi wakishindwa, utalipwa fidia.

2 Likes

sasa hapo, mhe. Granton Samboja anachezea upande ule mwingine:D ukristo/dini kaiweka kando kwa sasa ili ashughulikie mambo ya kuzuia korti kumchunguza; angebaki tu kwenye redio, hatungemjua kwa njia tunayo mjua kwa sasa…

1 Like

Aliamua kuwa mficha uke hazai. Basi wacha na tuuone uke (uume) wake!

1 Like

Granton Samboja began fighting in the courts to stop EACC from probing the source of his degree as his first task. Jamaa ako na cheti gushi, but he will survive because our system only requires you to have money.

The guy has also placed cronies and relatives in various positions all over.

Wueh! @zuma japokuwa nmemalizia kusoma hii komenti ila zimenitoa jasho mingi kweli. Kiswahili kitukuzwe

1 Like