Gd Job Inspector Pamba. Malisa wote

kwani huyu arinyoforewa bolingo …ama ni kususu kende.

5 Likes

Woi na venye wanakaa wasafi …

1 Like

Hehehe… Ukimanage kukaza njumu isitoke huwezi dedi.

6 Likes

Uwizi ni ya corporate ama gava.hizo zingine chorea

1 Like

Machos tu… Neurotic Huko zinakunywa maji and there’s nothing we can do about it… …

2 Likes

yule mtu ata invent njumu zinaeza grow kwa miguu zisitoke aneza make doh sana

Hiyo kandarasi @Gio afanye research. Organic, bionic shoes which grow as you grow and are fashion neutral.
Unavaa kwa ofisi, track na kwa shamba.

5 Likes

…Umeanza Friday dose naona.

Who is picking that tab? @Fala 12 unajiskia na hio kazi

huko kwako watu hawakubaliwi ku nap na unahesabu chai na mikate sitawezana, lakini kama production itafanyiwa kwa garage ya introfart mahali tunaeza meza wd40 tukifanya kazi am in

3 Likes

Engineer afanye R&D halafu ikifika produkshen nawakaribisha hapa Haiti. Kuna dispenser ya WD40.

1 Like

:D:D:D:D:D

Siasa ndogo ndogo ziliisha, niko na shida ya kumatch voltage kwa electromagnetic induction coil na batteries uko na ujuzi wa hio? Kulala bado ni hapana

Ile teke mtu hujaribu kumpiga shaitan akimkaribisha ahera ndiyo hufanya kiatu kitoke hata kama kimefungwa na kamba ikazingushwa vifundoni.

4 Likes

physics na elec ilinikataa, ongea na @uncle nyam

1 Like

hehehe I spend a lot of time reading to understand kile naambiwa

@xuma Saidia
Vifundoni ni nini au ni wapi?

1 Like

Kumbuka yule jamaa wangu Pele tulishikwa na yeye, alisema fiatu fiake hazitoki

1 Like

Kifundo ni ile sehemu ya chini ya mguu kwa kiingereza ‘ankle’.

1 Like

Ankles…

2 Likes