Good old Mutura

[ATTACH=full]116887[/ATTACH]

i will try…Hope ni ya damu nani…usinibwage

Boss thanks. You have given me the closest place to my route…I will sample the others when i get a chance tho

Hizi ndo sipendi…that’s minced meat

Mugarorû na Rwarîongo kwa Wa-Rose.

Unge describe kama ya @Murithi hapo juu ndo nielewe tuko same page…Amedescribe award winning mtura vile nazitambuanga

Mwachane na nyama yangu, nishaikula tayari.

Just wondering, a man experiencing cravings huwa ni minyoo ama ni sign ya umama?

Hatujui…but since uko clear ni options mbili, na experience yako tuambie ni gani.

declassify please

chinja tu mbuzi utengeneze yako.

I only trust home made mutura…hizi za mahori minced na kasia ya tumbo siezi kula.

Visit Kiamaiko uone vile hao hurokota hio damu ya mbuzi kwa mtaro.

Kukulia mtura kiamaiko si idea poa. The people who prepare them do not observe hygiene.

In short sema unataka kula food poisoning

Growing up sucks. Kitambo I used to eat mtura, roadside samosas and all kind of street food without a care in the world. Siku izi ata matumbo na mahindi choma sigwes.

Kwanza samosa za dengu… nowadays I can’t touch them

U don’t know what u r missing in mutura

mahindi choma hainaga waas hata iwe ya area gani…