Good quality clads Where to buy

Enda gikosh mangware, before 8 am. Utapata vitu kali sana.

Hehehe…possible.

Mi sijawai vaa kitu ya duka, mtumba damu,Wadhii aka Gikosh has realized every nigga is after thm so they tend to over prize their stuffs… . ndio I came upon a mrkt almost same as Gikomba, bei iko tu considerable collection ziko very unique …KAWANGWARE nikiwa na 10k napata mng’aro ya mwaka…(actually 8k coz 2k ni ya fombe)

1 Like

Ungwaro side gani buda? But Gikosh kuna mashimo, ukizimesea utapata vitu kali designer.

:D:D:D:D

Urefu na clad ni issue. People wont understand when you tell them how much you bought your clothes. They are much more expensive.

True. Most of my average height pals hupata nguo virahisi na mimi zangu i have to fork k+

1 Like

All my khakis i get in Easleigh n shirts to. Saa zingine hizo stalls ziko Imenti. As for the shoes ni Bata

Mimi ni wa Tuskys Imara ju iko karibu na stage

1 Like

how can u tell he’s a makanga bila uniform…unless ladies love their uniforms ama wewe ni mmoja wao

Don’t wanna hate lakini nguo za supermarket huwa na sense of style? Saw some suit zile hukaa nikama solar ya jan inaeza melt

3 Likes

Kama zile suti mapastor wa ocha huvaa. Zinashine kama aluzinc mabati

2 Likes

@CORNERS shupa mbiri kwako, hapo umenena. Kwani @Davidee ni wa Cambodia

Hahaha, I can only imagine

gikosh
kawangware
muthurwa
toi
huko utapata vitu long lasting na UNIQUE

Vuja de pia wewe ni wa kuvaa duma badala ya puma… Na kwa logo iyo cat imedive chini badala ya kuleap juu! Hahaha! Adeas badala ya Adidas,. Naskia hizo sportshoes imbo huchoma kwa jua serious… Kama Sandak! I would like to meet some of you especially wewe @Mwenyewe inakaa we hunyoa slope ama Ile style ya Ronaldo na boot ya simbaland

1 Like

These Chinese will finish us!mnanikumbusha zile radio za philibs

:smiley: Na SQNY! :smiley:

Fiatu ni Bata

Lakini Tuskys pioneer jeans zao ziko down

Mi hununua Khaki pekee

1 Like