Greatwall 14 inches Tv.

Pingu!. Alafu kulikuwa na ile ya mbwa flani. Ilikuwa inaitwa kitu kama ‘littlest Hobo’. Enzi hizo mombasani TV ilikuwa inafunguliwa saa kumi weekdays na saa situ wikendi.

1 Like

Nimependa ‘littlest Hobo’ sio ‘situ’.

1 Like

William tell And Derrick.

1 Like