Gukanya

Good memories. Mimi nilikuwa nakula 5 nikapanda ngazi mpaka 20. Nikileta mafuta naona madhee anaangalia lakini hasemi kitu. Siku moja natoka shule naona siz na kibuyu ya mafuta ameshabuy, nikajua hiyo nyumba ni warzone. I pleaded with her amwage chini mpaka level ya 80 akakataa. Nilipigwa mpaka majirani wakaingilia.

3 Likes

I pleaded with her amwage chini mpaka level ya 80 akakataa. :smiley: :smiley: waaah iza kaka kwa kichapo kumbe l was not alone :smiley: lakini 20 bob ni mingi nawe gukanya haikuwa inapita 5bob

2 Likes

:D:D:D:D Hiyo mafuta ilikuwa ni ya kuwashia taa tu, kwa hivyo haiishi haraka. Sasa nikipata chance nakula tu 20.

Hahaha maze kuna mabeast walikuwa wanakuja game na ball bearings…na wanadai cracking no paying

2 Likes

tulikuwa tunacheza bano kidole inapataa cracks …l still cant understand how we use to play it morning hadi usiku ata huwezi enda kula lunch home

2 Likes

Hehe manze…halafu unarudi home jioni mathe anakuwahi maRKO