Gunia Wiki Hii: Nappy Seal na TV

Boss, fiatu zako za job ni za stairo hiyo, lakini mimi ndiye shamba?

Isorait.

Ile siku ango na makanika watapatana ni sirkal itaingilia kati :D:D:D

atajua maembe ni mboga .

:D:D:D:D

Kijana ya Trump unacheka nini

:D:D
Naweza pasua chupa ya Gibleys kwa hiyo kipara yake ajue omena ni samaki pia.

Hizi sweeps umechapwa wa ingho. Chukua Gilbey’s hapo Khumsalaba kwa paybill yangu. :D:D:D

rusha ya machozi omwami

Saitan!!! mwanaume aingilie kati ya ndume wawili?
Sigwes

Ted Bundy. @introvert seriously? Apana buana. Hata kama ni fitina… aca mani!

:D:D:D
Mundu wa Titanium next week ni wewe.

mulika huyo muzee alihepa murarandia 1940 after kukosana na bibi

Enyewe hio sweep naweza kukurushia gibleys umeze sweep polepole

:smiley: :smiley: Sawa tu! :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

:eek:

Kwani ni photosynthesis? :D:D:D:D:D:D:D

And you think naogopa. You think you go brow beating me the way you mess up with pukusu ng’ombe mujinga @uwesmake ? Hata umechelewa?

Ideally,I should even give you an idea…ndani ya Makupa. Scumbag was hia…

Mwizi wa moniker!

Ni uzee umeingia.
Huoni hadi quadrijoint imejikunja lazima ameze Cialis.
:D:D

Ya’ll know that that guy’s big head haibebi akili ara?

:D:D:D:D:D kanisa ya kadundu

Sweep ziendelee kukuja hata ile mancave yake haitakalika leo