Habari hii Imfikie Mshana jr.

Sasa kwa nini Kande mnaita Githeri!?


Mshana Jr.
Mzizi mkavu
Jichawi

Kisumu inafanana na Mji gani wa Tanzania?

Sasa huyu ndiyo huku ukimbizini ndiye kawa @Cage clay

Sasa mbona kawa kimiya sana

Ongera umefika mkuuu. Wananchi wanaitaji huduma

Nafurahi sana kuwa na @Cage clay wewe ni mutu muhimu sana baadae tuende gikomba kuna kitu nataka hapo mara moja

kyupi na papuchi yanguuu hahahah

Itakua ushampata sasa

Ni Mshana mwenyewe kweli? Maana tushapokea kesi za watu kuja huku nakujiita majina ya watu, mfano kuna GENTAMYCIN na GENTAMYCINE. Nitaamini baada yakuona maandiko yako mkuu.

Weka ile Aviator ya Jf, tusije tukajieleza shida zetu kwa waganga feki.

Mkuu wa wachawi…@Mshana jr

Kaka ushighe kuogha…

Kumbe mtaalam upo, vizuri ila cjaona mada zako huku.

Naomba mniroge!

Are U? Not really. Mshana never put sun goggles

Tutapata samaki kiongozi? Sato

Ax

Acha vi2co

Its me… The real one

Tunasoma kwanza mazingira ya ughaibuni

Harika…