habari za hapa na pale: mswaki

mimi ni mrefu lakini ni mrefu in a funny way. Miguu zangu ni refu tu sana. Watu wengi wakiniona nimesimama kama wamezoea kuniona nimekaa hushangaa sana how tall I am. :D:D

apa tunaongelea shingo ya giraffe

:D:D:D:D, weeeeeeh

Sijui

mswaki umetolewa.

That’s a relief.
Now the guy can say he had a brush with death .

Ten green emojis.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:DYou kill it!

The moment I heard the case was in Mombasa niliacha kustuka :D:D

Hii story imenikunbusha mchongowano. Ati uko na mdomo kubwa hadi huwa unakula ovacado kama njugu.:D:D Jamaa anajifanya crocodile.