HAKUNA MASHILINGI KWA DUKA!!!

and some of the oldest folks are smokers.

Hakuna chumvi ya seven bob Kenya.

Aaiii boss kwani unaishi leafy surburbs unatuma mboch kila kitu? kunayo ya 5 bob or six hapo.

Mashillingi zangu wamekuwa wakizula kwa muda mrefu na venye ushumi ya 254 iko juu …
Kutoka kesho Ctakuwa nikitumana hapo,…

Ushumi ni nini mututho??Ushalewa chakari sasa umeanza kuzungumza kiarabu??Hizo KK hazikupeleki poa.Anza diet ya supu ya paka na Ngamia,labda utasaidika

Kama ni wewe unachapaga hiyo Supu iwe ukiniwekea cup tatu za top-layer .

[ATTACH=full]170853[/ATTACH]
Nina saba kama hizi kwa nyumba. Hii ni ya nane inajaa.
Kenyans hold on to coins. Peasantry redefined.

Hio balcony wall inakaa flani ya moi avenue…hizo scartches kwa ukuta are very peculiar with people traffic

A few years back I was surprised when I went to Shags n Coins were not accepted at the Shops
This has since extended to Most places(Shops/Mats…). I guess with the exception of Supermarkets

Am wondering though, isn’t it illegal to reject Legal Tender…?!