halafu bwana Pamba akupate

Niko na hekaya about D- serving in operation areas,hio gari hupelekwa mbio ili ikipata landmine casualties watakua wachache , this are rookies to avoid dust unafunga hema nyuma na unafungua sideways.

Ati kusomesha slayqueen. Nimeskia kuuza ngombe kusomesha ngombe lakini hii. Hii ni another level of ujinga.

Pamba ni wewe?

tupatie in full kule VIP

hakuna hekaya pamba anakuwaga nayo.

hekaya ikuje Captain :D:D

Tupee hekaya in full Friday VVIP masehem

Mimi naweza ng’oa yeye nywele za mnduku moja moja na pliers

Acheni kusumbua bryo.

:D:D:D:D

My friend alikuwa anakulia mse fiancé wake na hadi anaendesha gari ya jamaa… sa hizo inahustle pale south sudan

Wanataka jembe inaenda deeper shida kisima kwa highlands.

That’s their office. Washike kalamu na file vizuri :D:D:D

Kuliendaje?

there is one nilikuwa nimekufia but katika pilkapilka za kutupa mistari akasema kuna ex anashinda akimsumbua na ati anakuja soon kutoka kisimayu(kdf)…ilibidi nisareh tu juu eventually ningemkufia literally

Ata hakuwaishikwa … na even after mjamaa wa south sudan amepea huyu manzi ball, my guy was still hitting it raw