Halotel siku ya 5 haiko hewani.

Wali ilikuwa POA

Hawa husiki hawa wasiende na na halotel

Enzi hizo

TTCL kumenoga internet ni kama bure

Huku sana tu

Nifanikiwa kuwa pigia wamejibu wanashughulikia .
Nje ya eneo

Itakuwa uko Nangulukulu au Nanjilinji