Hamis Kigwangalla, haya maneno umeandikiwa? Siamini kama ni yako

!
!
Wait… What?

Kigwangala hebu anza na baba yako pale magogoni, maana yeye ndio namba moja kwa kuwa na mentality hiyo uisemayo. Tena zaidi ni kwa maadui zake.

Hamis Kigwa analeta vichekesho tu. Yeye na chama chake mpaka leo wanaona kukimbiza mwenge ni jambo la maana. Sasa kama bado vijana wanaona kukimbiza mwenge ni jambo la maana wanaweza kuleta fikra zipi za kufanya watu kuwa matajiri.

ANAMPINGA BOSS WAKE JIWE? TANGU LINI JIWE AKAPENDA WATU WAWE MATAJIRI UKIACHILIA “NANIIIHIII WAKE” DAUDI BASHITE?

Huyu sio bure, atakuwa amefyatuka bila kujielewa

Kwani hawayajui hayo,kwani hawajui kuwa kutisha raia na kutowapa uhuru wa kufikiri ni adui mkubwa wa maendeleo…kutamani na kuthubutu ndicho kililichomfanya binaadamu apige hatua kimaendeleo…

Kama ujumbe utafika kwa bwana Jiwe,tungoje tu barua ya msigwa

Wanacheza na akili za watu waone reaction

Kachoka kula hahahaha

Hahahaha

Kwani JPM aliwahi kusema hataki watu watakirike?

Akili zinaanza kuwarejea

Hahaaaaaaaaa…

Angoje barua ya kutumbuliwa, ama siyo?

Wewe unadhani ile kauli yake kuwa kila anayelalamika kuwa maisha yamekuwa magumu tokea yeye aingie madarakani, kuwa walikuwa wapiga dili, unadhani ina maana gani??

Haisaidii kitu, boss wake ameamua kuturudusha kwenye ujima, yeye ni kibaraka tu hawezi badili kitu, boss wake ameamua kutubadilishia uelekeo ama kwa kujua au kutojua. dunia inaenda mbele yeye ameona turudi nyuma, bado kidogo tutaanza kuvaa kaniki

Nimekumbuka maneno ya wahenga yaliosema…
Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo

mbona anapingana na rais wetu wa wanyonge