Hapa Ndipo Kenya Tumefika

Elin = drama queen wa klost.

Thts more like it:D:D yani Santa fe …weekend ulikuwa myers ama mabatini?

hata wewe ni slum dweller,siwezi enda kibera hata kama nalipwa

Hehe. Kuna mtu alipost story yako na bangi na inaka kweli unachukua more than what your body can handle. And i guess you can only handle a puff. Ya pili ni overdose already.