hapo vipi.....

:D:Dshiny eyes allover

Lemme save this info for @somebarry

1 Like

huyo mat itajaanga hata kabla ifike kwa shimo. Go to river road at night…before luthuli. pick a light skin and talk some sense into her. All these girls need is money. Na utakuwa umemsaidia na atakusaidia ma3

:slight_smile: :smiley: nasikiaga hii biz ya mat ,mwenye mat huirun kimafia style hivi. Executions tu ndo mmebakisha ili makanga atii .

1 Like

haha hakuna kitu kama io ukipata makanga na dereva wazuri you will never complain but kuna conductors wakora jamaa atakuambiwa gari imeshikwa karao wanadai 3k.Ukiwaambia walipe io inaingia mfuko yao.

1 Like