HAVE YOU EVER BEEN SLAPPED IN PUBLIC?

ndio iyo sasa :cool:

mbare ya kiuna
mbare ya kafiso

hawa ni majirani wetu :rolleyes: mbare ya kiuna mizoga zimejaa uko

Feminized men all over

Nakuona Tommy

Hiyo ilikuwa generation ingine kaka ya wazee hawatambui sijui shule sijui mwalimu. Watoto wao ndio wazazi wetu lakini hao walitu kanyaga vilivyo na haunge wapelekea upus sijui suspension sijui umechapwa. Heri kukomboa msee akurudishe shule.

Hehe marehemu chief karomo na the infamous benz

This saved a lot of people.

naona wewe ni wa mtaa yetu
respect kaka?

halafu heka ya KANYINGE wa gachie ulikuwa unaiskia as u grew up

halafu na famous cheif alikuwa anaitwa wamashuka…(kumbe ilikuwa nickname juu ya kukula wamama wa gachie ukiwa na shida ukiwa mathaa alikuwa lazima asample kinyamo hence wa mashuka:eek::smiley:

Hehe yap i grew up in kihara though gachie ndio mzae ametoka.Kanyingi naskia alipepetwa kwa plantation ya mandizi.

They all mellow with age, my mum alikua moto Wa kuotea mbali, even my friends knew, Siku hizi akiniona nikichuna my son anamtetea na nikumchuna tu

alikuwa maffia mbaya… kuna time police walienda kwakwe na uyo chief wamasuka, wa kwanza kuingia alinyongwa akarushwa chini ya bed…wapili same way…then akachomoka mbio :smiley:

mzae may be ni wa kwetu

hehe familia yetu iko kwa wingi gachie-imwana cia njoroge ciendete mburoti maguta.

Same here, both my parents are teachers sasa walikuwa wana side na walimu in case of anything. Bro wangu alidhani mbuyu ata side na yeye one time in high school, mbuyu ndio ali end up kumchapa.

:D:Dbuda yani ali mgeuka

wazee tough au stoopid?

:eek::eek:

unashangaa? unaendaje kupiga watu na hujafuatilia chanzo/kiini cha maneno?

After doing their work, they slow down with age

Timo hauwezi jificha, huko mukuru tuko marafiki lakini haunijui, in between natafuta mtu wa Kenya power anyonge stima yangu.

But slapping kids is extreme, he could have just given him another punishment.