Hawa wanateseka namna hii je wale walipewa migao wako wapi?

nahsi hata soni kuuliza kwan hii inshu ilikuawaje na lini, mana naona watu mpo full aware, binafsi nimesikia majina yao na kuwaona humu, swear to LORD nilijua ni wale sijui mashehe wa UAMSHO japo nao siwajui. Hz mambo zimenipita pembeni sana

Ukipiga deal na wakubwa jiandae kuwa kafara…

Wanasikitisha aisee

Hahahaha kweli aisee kama burning spear

Mabilionea wanaozea jela

Ndo utagundua hakuna dhamira ya dhati kupiga vita ufisadi bali ni visasi vya mungu jiwe! Kesi haisikilizwi bali wanasoteshwa tu

Chama pendwa CCM sio…
Maana ndio “wanashinda” chaguzi zote.

Hmm! Kweli kila zama na kitabu chake…

Huy

Huyo Si ana PUTO tumboni ama?

Jiwe alisema watazitolea hata Ktk matundu mengine!

Nakumbuka Ktk msala huu, Msoga alisema hawa sio watumishi wa umma and so hawezi kuwashughulikia! Akabaki na akina professor “za mboga!” Upande wa pili jiwe kawakamata hawa, kawaacha watumishi wa umma!

Huyo sheikh mrefu kama Sadam Hussein ndio nani?

Si aliomba ruhusa ya kwenda kulitoa puto, tena alitaka kwenda nje ya nchi si angekimbilia Bombay huyu

Huyo ni Burning spear muimba raggae

Rafiki ake na Peter Tosh?

So Hapo hana PUTO?

MI NINGEFURAHI WALE WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA NA KANZU ZAO WALIOBEBA PESA STANBIC KWENYE MASANDURUSI NAO WAKAMATWE.:D:D

Analo ila aliomba sana apelekwe hospital wakamwambia ni muhimbili tu

Duh nimecheka kama Mazuri vile!

Ova

Wakiamua kuendesha hiyo kesi kihalali hakuna kiongozi atakayebaki salama…

Cc: @Mahondaw

Kweli kabisa hadi JK haponi maana ndiye aliyeruhusu na kutetea kuwa siyo za serikali. Sasa kama siyo za serikali kwanini kuwakamata na kuwashitaki watu wanaojigawia fedha zao? Chenge katulia zake anaongoza bunge kama mwenyekiti. Mama wa milioni 10 za mboga hana wasiwasi anabadilisha mboga tu. Mnikulu naye anakula maisha. Maaskofu nao wanaendelea kuchunga kondoo wa Bwana. Ngeleja kwa mchecheto wa kujfanya yeye mtakatifu eti akarudisha pesa serikali. Sasa mtu unapewa pesa na mtu binafsi kama “zawadi” halafu eti unarudisha serikalini. Sasa wema wote walioufanya hawa jamaa kwanini wale waliofanyiwa wema hata huwa hawaendi kuwaona wasamaria hawa?