Head ache

Pombe si ni ile ile itaingia kwa mwili? Whether uongeze maji ama hewa?
Maji ni ya kupre-empt hangie, sio kuzuia kulewa.

mbwamrefu bado una exist?

Mi hubweka huku matime, Akala Broker. Khasia.

Shoga Mrefu,kwani uliolewa?

Sword Master, nyama yako ya ‘ng’ombe’ kumbe ilikuwa whale, nimekuwa nikiharwo.